Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Duh! Kila soja kajivalia alichaweza kupata. Pengine hivi viatu ni baadhi ya vile walivyoiba / dhulumu raia wa Ukraine kipindi kile.
1. Huenda ni viatu vya raia wa Ukraine watakuwa wamepora.

2. Huenda wanakaa nusu kiraia ili mambo yakienda mlama wanajigeuza kuwa raia.
 
Mkuu hali ya Bakhmut tunaweza kupindua meza au tayari 'jamaa' wameishaichukua?
It is unpredictable. The battle situation is still immense, they (Russia) are holding the position. They are advancing but very slow. It is unlikely Russian will encircle Bakhmut soon despite of destroying the Bridge. The likehood of Ukrainian troops to retreat is highly considered.
 
1. Huenda ni viatu vya raia wa Ukraine watakuwa wamepora.

2. Huenda wanakaa nusu kiraia ili mambo yakienda mlama wanajigeuza kuwa raia.
Hahahaa. Lakini hilo mbele ya wapambanaji wa Ukraine wanadakwa tuu. Mbona walifikia hatua ya kujificha ndani ya nyumba za Raia wa Ukraine wakiwa wamevaa kiraia lakini bado walidakwa? Mrusi ana akili kama ya mbuni. Anadhani kuvaa kiraia kutamwondolea kuwa ni askari wa Urusi na ni Adui? Inanikumbusha enzi zile hapa Tz huwezi kuingia kijijini na kulala hapo bila kujitambulisha kwa Mjumbe wa nyumba kumi. Ukijifanya jeuri unafungwa kamba.
 
Vijana wa sasa hivi hawajui umuhimu wa Balozi wa nyumba kumi. Mgeni akilala kwako bila kumtambulisha kwa Balozi unashughulikiwa. Idd amin alibadirisha mfumo wa maisha yetu kiusalama.

Wa Ukraine sasa hivi wanafahamiana sana. Mgeni wanam sport kwa dakika chache.
 
Wakati mwingine watu wanasema Shida/Tatizo huwaunganisha watu, huwakutanisha na hufanya watu wafahamiane, huunganisha nia za watu pamoja zaidi. e.g. Msiba. Sasa inapokuwa ni suala la vita basi mshikamano ndo unakuwa ni zaidi.
 
Hili eneo lilikuwa linashikiliwa na Wagners huko Bakmut. Wamepelekewa moto hadi wakakimbia. Hakuna jiwe limesalia juu ya jiwe wala hakuna mti ulosalia wala mtu🀣🀣🀣
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…