figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #11,721
Wako vizuri. Wame advance huku wameshika kende. 😂😂😂Angalia Warusi na Wagners walivyo advance huko Avdiivka🤣🤣🤣
View attachment 2538682
Ukiona msitu umegeuka kuwa vipande vya kuni maana yake Ukraine wana very powerful machine. Huenda Bradley imepelekwa huko.Hili eneo lilikuwa linashikiliwa na Wagners huko Bakmut. Wamepelekewa moto hadi wakakimbia. Hakuna jiwe limesalia juu ya jiwe wala hakuna mti ulosalia wala mtu🤣🤣🤣
View attachment 2538685
HIMARS kapata long range missiles za USA au wametumia za UkraineAngalia HIMARS ilivyo tembelea Makao Makuu ya Jeshi la Urusi huko Volnovasy🤣🤣🤣
View attachment 2538700
Kwahiyo usaidiwe ni nini?Huu uzi ni wa Waukraine wa Buza kujifariji. Guys huko field mambo ni mazito kwa ndugu zenu.
Mrusi anazidi kusonga mbele kwa speed ya kimbunga.
HawajasemaHIMARS kapata long range missiles za USA au wametumia za Ukraine
Hii sura nilikuwa sijawahi kuiona,ila juzi nilimsikia akiongea BBC radio, eti kumsihi Zelensky aaamrishe wanajeshi wake wa retreat jinsi alivyokuwa anaongea nikasema huyu jamaa lazima atakuwa mlevi sana wa pombe,kwahio nakubaliana na wewe kwa sura hii hata madawa atakuwa anatumia huyuSura imekaa kiwakala wa shetani kabisa. Anatamani damu za watu tu. Huyu mtu hata kwa kumwangalia hayuko normal lazima atakuwa anavuta bangi au kutumia madawa. Yuko Upset.
Apumzike kwa amani,hivi Ambulance inaruhusiwa kushambuliwa?Yana (Yara) Rykhlitska, 29, Ambulance alokuwa amepanda ikiwa na Majeruhi wa Frontline ilishambuliwa akapoteza maisha. Alikuwa anafanya kazi ya kujitolea kuwasaidia Majeshi ya Ukriane. RIP
View attachment 2538714View attachment 2538718View attachment 2538719
View attachment 2538726
View attachment 2538728
View attachment 2538781View attachment 2538780View attachment 2538779View attachment 2538778View attachment 2538777
View attachment 2538809
Kama mrusi anaweza kupiga makazi ya watu kwa Lengo la kuwaangamiza atashindwa kweli kupiga Ambulance iliyobeba wanajeshi?. Russia hawazifuati kanuni za kivita wala hawana habari nazo.Apumzike kwa amani,hivi Ambulance inaruhusiwa kushambuliwa?
Duh! Hapo ni Wamesagwa hawajapigwa. Watapigwa siku nyingine 👆 🔨😀Hili eneo lilikuwa linashikiliwa na Wagners huko Bakmut. Wamepelekewa moto hadi wakakimbia. Hakuna jiwe limesalia juu ya jiwe wala hakuna mti ulosalia wala mtu🤣🤣🤣
View attachment 2538685
Jamaa hajaamini anachokiona. Hizo ndo huwaga salaams za hao wazee wa HIMARS. (Shikamoo HIMARS) Wakifika kwako lazima wakuachie zawadi ya skrepa na mizoga mingi -utajua mwenyewe.Angalia HIMARS ilivyo tembelea Makao Makuu ya Jeshi la Urusi huko Volnovasy🤣🤣🤣
View attachment 2538700
Huwa anakuja kuchungulia mizoga yao.Kwahiyo usaidiwe ni nini?
Wameishiwa risasi wameamua kutumia shovels 😂😂😂
Saudi Arabia imetuma ndege tatu za mizigo zenye misaada ya kibinadamu Ukraine ikiwa ni pamoja na Generator 135 generators zenye capacity kati ya 20 na 400 kilowatts, blankets na hygiene.
View attachment 2537441
Warusi 25 wamekwenda na maji kwa wakati mmoja Bakhmut
View attachment 2537449
Bakhmut: Mpambanaji wa Ukraine akiwa na DShK (Dushka) machine gun
View attachment 2537539