Hili eneo lilikuwa linashikiliwa na Wagners huko Bakmut. Wamepelekewa moto hadi wakakimbia. Hakuna jiwe limesalia juu ya jiwe wala hakuna mti ulosalia wala mtu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2538685
Tumempoteza Muuguzi na mpambanaji Yana Rykhlitska, huko Frontline ya Bakhmut. Apumzike kwa amani
View attachment 2538709
Yana (Yara) Rykhlitska, 29, Ambulance alokuwa amepanda ikiwa na Majeruhi wa Frontline ilishambuliwa akapoteza maisha. Alikuwa anafanya kazi ya kujitolea kuwasaidia Majeshi ya Ukriane. RIP
View attachment 2538714View attachment 2538718View attachment 2538719
View attachment 2538726
View attachment 2538728
View attachment 2538781View attachment 2538780View attachment 2538779View attachment 2538778View attachment 2538777
View attachment 2538809
Bakhmut bado ipo Mikononi mwa Ukriane, pamoja na Mashambulizi Ukriane wanapata, bado Urusi hawajaweza kupenya. Angalia ramani mbili hizi kisha fanya mlinganisho
View attachment 2538790View attachment 2538791
Wasije wakauona warusi wakautamani. Mzigo kama huo unahitaji ulinzi mkali sana. Umefika nchi ganiMzigo wa Ukraine huu. Hapa ni Ujerumani
View attachment 2539550
SafiiiPanzermΓΆrser M113 mortars ya Lithuania ikiwa kazini Ukraine
View attachment 2539576
Apumzike kwa amani..Tumempoteza Muuguzi na mpambanaji Yana Rykhlitska, huko Frontline ya Bakhmut. Apumzike kwa amani
View attachment 2538709
Safiii sana..Majeshi ya Ukraine yakiwa kazini Ukriane
View attachment 2538765
Duh!!..Urusi hawana Uchungu na Vifaa vyao vya jeshi.
View attachment 2537983
π€£π€£Yevgeny Prigozhin, Kiongozi wa Wagner Group amesema kwamba Russia inatakiwa imtafutie Wanajeshi elfu 20 hadi elfu 30 wenye nguvu wafundishwe ili waweze kuikamata Bakhmut kwa haraka
View attachment 2537162
Kajikausha kwa kufumba macho au ndo safari ya kuzimu. πππUkikamatwa na Azov lazima upate tabu kidogo hata wakikufanya mfungwa wa kivita
View attachment 2539640