Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Hiki kikundi kimeanzisha uasi ndani ya Urusi. Bora hizo nguvu wangezileta Ukraine wasaidiane na REGION kumtoa Urusi Ukriane. Hawa wanampiga Putin. Wanataka wananchi ambao wamechoshwa na Putin wajiunge kwenyr kikundi hiki. Hapa ni Plekhovo mpani na Summy
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…