OSEFUKANY
JF-Expert Member
- Jan 16, 2011
- 2,437
- 3,896
Ooh! Hataamka tena huyo. Amepewa dozi ya nusu kaputi ila wamezidisha dozi.Amepitiwa na usingizi wenzake wakamwacha. 😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ooh! Hataamka tena huyo. Amepewa dozi ya nusu kaputi ila wamezidisha dozi.Amepitiwa na usingizi wenzake wakamwacha. 😂😂😂
Huwa nafuatilia sana kuhusu Azov. Huyu Mrusi kakutwa kavaa nguo za Jeshi la Ukriane. Wanataka awaambie wamemuua nani hadi akapata sare ya Ukraine. Naamini atasema kaua nani
View attachment 2544790
Jinsi Warusi walivyo kimbizwa na mbuzi wa Ukraine [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2545215
Zelensky amehudhuria mazishi ya Mpambanaji Dmytro Kotsiubailo "Da Vinci" (27)
View attachment 2545507
Bohari la silaha na risasi mali ya Mrusi huko Bakhmut limelipuliwa
View attachment 2545526