Kikosi cha 30th brigade huko Bakhmut, kimesema kimeteketeza Unit nzima ya Urusi
View attachment 2546097
Wagners walivyo dakwa
View attachment 2546389
Hebu angalia vizuri hiyo picha. Mizoga iko hivoInadaiwa hapa ni karibu na Bakhmut. Je, unaona mizoga mingapi ya Warusi? Zaidi ya 60?
View attachment 2546674
Ukizoom utaona vizuri.Hebu angalia vizuri hiyo picha. Mizoga iko hivo
Hebu angalia vizuri hiyo picha. Mizoga iko hivo
Picha ya juu na chini havina uhusiano.
Umeziweka wewe?Picha ya juu na chini havina uhusiano.
1. Uki zoom picha ya juu unaona risasi zilivyoacha alama kwenye sakafu na madoa au alama nyeusi mithili ya masizi yaliyorushwa baada ya mlipuko fulani.
2. Ukiangalia alama nyeupe zina pattern zinazofanana yaani duplicated objects lakini si mbili ya watu.
Umeweka ili tuangalie. Labda kama macho yetu yana makengeza.Umeziweka wewe?
Kama nitabahati kupata Video nitaweka. Ila jana pia wamekuwa ziadi ya hao.. Itapostiwa Ukraine wakishahama maeneoUmeweka ili tuangalie. Labda kama macho yetu yana makengeza.
1. Wagner baada ya kuona kuna defense ngumu kuvuka mto Bakhmut kwa mashariki na kushindwa ku break frontline ya Ukraine kwa upande wa kaskazini mwa Bakhmut. Wameondoka na kuwaacha wanajeshi wa jeshi la Urusi.Hawa Wagners wasipokuwa makini wataisha?
View attachment 2547142
Unit ina wanajeshi wangapi?Kikosi cha 30th brigade huko Bakhmut, kimesema kimeteketeza Unit nzima ya Urusi
View attachment 2546097
Unit ni Askari 7 hadi 14 na kiongozi wao ni Sajenti. Ila mara nyingi askari 12 inachukuliwa kama Unit. 20 hadi 50 wanasema ni Platoon na inaongozwa na lieutenant, 50 hadi 250 hiyo ni Kampani inaongozwa na Kapteni au Meja.Unit ina wanajeshi wangapi?