Propaganda hizo;Habari njema, kuna mahali nilisoma taarifa inasema kuwa Wagner wanashikiria 90% ya mji wa Bakhmut.
1. Kushikilia 90% ya Bakhmut maana yake umewazunguka askari wa Ukraine ama wameikimbia Bakhmut.
2. Waambie wakupe ushahidi kama hilo ni kweli. Kama ni kweli mbona hata Putin hajaitangazia dunia kuwa Bakhmut wameshaichukua?
3. Ukweli ni kwamba moja ya tatu ya Bakhmut wameshaichukua Wagner lakini sasa hivi wameshindwa ku advance. Kuichukua Bakhmut kwa sasa hiyo ndoto Russia imeanza kumtoka. Labda kama atabadirisha mbinu.
4. Ukweli ni kwamba kaskazini mwa Bakhmut tarehe 12/03/2023 Russia wamekomboa kijiji cha Zaliznyans'ke. Hiyo ndo eneo pekee walilopata mafanikio.
4. Ukweli mwingine ni kwamba Wagner wameanza counter offensive nyingine kusini kabisa ambayo ni mbali na Bakhmut direction ya Avdiivka. Kwa wale mnaoifahamu Avdiivka ni kwamba Wagner wana attempt kuizunguka. Na kaskazini mwa Avdiivka wame advance na kuchukua miji wa Krasnohorivka kati ya tarehe 07/03 hadi 12/03/2023 na sasa wana advance kuelekea mji wa Kam'yanka. Najua watathibitiwa tu ila kwa sasa wana hold frontline.