Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Habari njema, kuna mahali nilisoma taarifa inasema kuwa Wagner wanashikiria 90% ya mji wa Bakhmut.
Propaganda hizo;
1. Kushikilia 90% ya Bakhmut maana yake umewazunguka askari wa Ukraine ama wameikimbia Bakhmut.

2. Waambie wakupe ushahidi kama hilo ni kweli. Kama ni kweli mbona hata Putin hajaitangazia dunia kuwa Bakhmut wameshaichukua?

3. Ukweli ni kwamba moja ya tatu ya Bakhmut wameshaichukua Wagner lakini sasa hivi wameshindwa ku advance. Kuichukua Bakhmut kwa sasa hiyo ndoto Russia imeanza kumtoka. Labda kama atabadirisha mbinu.

4. Ukweli ni kwamba kaskazini mwa Bakhmut tarehe 12/03/2023 Russia wamekomboa kijiji cha Zaliznyans'ke. Hiyo ndo eneo pekee walilopata mafanikio.

4. Ukweli mwingine ni kwamba Wagner wameanza counter offensive nyingine kusini kabisa ambayo ni mbali na Bakhmut direction ya Avdiivka. Kwa wale mnaoifahamu Avdiivka ni kwamba Wagner wana attempt kuizunguka. Na kaskazini mwa Avdiivka wame advance na kuchukua miji wa Krasnohorivka kati ya tarehe 07/03 hadi 12/03/2023 na sasa wana advance kuelekea mji wa Kam'yanka. Najua watathibitiwa tu ila kwa sasa wana hold frontline.
 
Ukraine inapeleka watu huko, hao walioko mjini watazunguukwa, wakatiwe supplies, mwishowe wajisalimishe wenyewe au nao iwe zamu yao kupelekewa artillery kwenye magofu yote watakayokuwa wamejificha.
Huyo mheshimiwa anayenadi hapo juu kwa maneno ...."Habari njema, kuna mahali nilisoma taarifa inasema kuwa Wagner wanashikiria 90% ya mji wa Bakhmut."........
Unashikiliaje 90% ukiwa umejificha???Unaogopa kujitokeza hadharani uwanja wa mapambano halafu unadai unacontrol 90%?? Ni bora angesema 90% ya Wagners walioingia mjini hatma ya kusalimika uhai wao ni kidogo sana.
 
Unit ni Askari 7 hadi 14 na kiongozi wao ni Sajenti. Ila mara nyingi askari 12 inachukuliwa kama Unit. 20 hadi 50 wanasema ni Platoon na inaongozwa na lieutenant, 50 hadi 250 hiyo ni Kampani inaongozwa na Kapteni au Meja.

Zikiwa Kampani mbili yaani Askari kuanzia 400 hadi 1,200 inakuwa nj Battalion inayoongozwa na
lieutenant colonel.

Wanajeshi 2000 hadi 8000 ndo inaitwa brigade na wanaongonzwa na brigadier general au colonel.

division ina Wanajeshi kuanzia 7,000 hadi 22,000 na inaongozwa major general.

corps, ni Wanajeshi 50,000 hadi 300,000 na inaongozwa n lieutenant general au General
Asante kwa elimu
 
Propaganda hizo;
1. Kushikilia 90% ya Bakhmut maana yake umewazunguka askari wa Ukraine ama wameikimbia Bakhmut.

2. Waambie wakupe ushahidi kama hilo ni kweli. Kama ni kweli mbona hata Putin hajaitangazia dunia kuwa Bakhmut wameshaichukua?
Huyo bwana labda alitaka kusema Wagner wamefurushwa na kuachia 90% ya eneo walilotaka kuchukua.
Akiweza kujibu hizo nondo 2 unitag.
 
Unit ni Askari 7 hadi 14 na kiongozi wao ni Sajenti. Ila mara nyingi askari 12 inachukuliwa kama Unit. 20 hadi 50 wanasema ni Platoon na inaongozwa na lieutenant, 50 hadi 250 hiyo ni Kampani inaongozwa na Kapteni au Meja.

Zikiwa Kampani mbili yaani Askari kuanzia 400 hadi 1,200 inakuwa nj Battalion inayoongozwa na
lieutenant colonel.

Wanajeshi 2000 hadi 8000 ndo inaitwa brigade na wanaongonzwa na brigadier general au colonel.

division ina Wanajeshi kuanzia 7,000 hadi 22,000 na inaongozwa major general.

corps, ni Wanajeshi 50,000 hadi 300,000 na inaongozwa n lieutenant general au General
Mkuu, Nimejifunza kitu hapo. Asante.
 
Askari wanaenda Frontline na fimbo badala ya bunduki. Si wajisalimishe tu? Drone imewachukua picha Bakhmut
20230313_171929.jpg
20230313_171933.jpg
 
Back
Top Bottom