Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Kati ya wanajeshi wa Wagners 45,000 walipungua hadi 7,000, wengine waliuliwa, jeruhiwa au kukamatwa.. Ndo maana wameondoka Bakhmut
 
Kati ya wanajeshi wa Wagners 45,000 walipungua hadi 7,000, wengine waliuliwa, jeruhiwa au kukamatwa.. Ndo maana wameondoka Bakhmut
View attachment 2548047
Shenzi kabisa. Wangesubiri-subiri kidogo au kujishauri wangeliishawote. Huyo Prigozini (Kiongozi wa Wagner) kama ataishi ; hatokaa aisahau Ukraine kwa mtiti aliokutana nao kutoka kwa wanaUkraine. 💪 💪 🔨 Mzee mwenyewe anaonekana umri umeenda kwa sasa anaishi "kwa mkopo" au tuseme Salio limeisha. Amewatosa vijana wengi sana akiwepo Mangi (mTz) mmoja.
 
Kati ya wanajeshi wa Wagners 45,000 walipungua hadi 7,000, wengine waliuliwa, jeruhiwa au kukamatwa.. Ndo maana wameondoka Bakhmut
View attachment 2548047
Siku zote nasema huyu shetani hayuko normal. Ana bonge la depression na lazima unavuta unga. Mwili mzima umejaa damu za watu wasio na hatia. Huenda akafa kabla vita hii haijaisha. Muda utaongea.
 
Habari njema, kuna mahali nilisoma taarifa inasema kuwa Wagner wanashikiria 90% ya mji wa Bakhmut.
 
Siku zote nasema huyu shetani hayuko normal. Ana bonge la depression na lazima unavuta unga. Mwili mzima umejaa damu za watu wasio na hatia. Huenda akafa kabla vita hii haijaisha. Muda utaongea.
Hahaaa.Na mbado. Atalinywa kama alivyoligema. Alidhani Ukraine ni kama ilivokuwa huko Afrika ya kati na kwingineko . Mkataba alioingia baina yake na Urusi wa kuwaua raia wanaUkraine kwa tamaa ya kupata fedha nyingi sasa utamtokea puani.
 
Habari njema, kuna mahali nilisoma taarifa inasema kuwa Wagner wanashikiria 90% ya mji wa Bakhmut.
Soma pia na Taarifa za mahali pengine halafu ulinganishe ili kuweza kupata uhalisia. e.g. Taarifa nyingine zimeelezea kwamba Wagners wameondoka Bakhmut baada ya askari wake kuuawa kwa wingi mno na kuwaacha askari wa Urusi ............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…