Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Netherlands kupeleka silaha nzito Ukraine ili ijilinde
 
Master Sergeant Ihor ni sniper wa Vifaru. Yupo kikosi cha 26th Artillery Brigade. Na hili ndo gari lake. Kaenda Donbas
 
Angalia huyu sniper alichofanyia Vifaru vya Urusi. Sniper wanaogopwa, ndo maana Watu wakazusha eti Wali kafariki ili ajitangaze alipo wamshambulie kwa ndege. Akaa kimya hadi akafika Kyiv
Your browser is not able to display this video.
 
Wanajeshi wa Ukraine Frontline wametrka kifaru cha Urusi aina ya BTR-82A. Pamoja na wote walikuwa ndani kufa bahati mbaya, kifaru ni kizima tu na kinaendelea kutumika kuwashambulia Urusi
Your browser is not able to display this video.
 
Ukraine wamejiokotea kifaru cha Urusi aina ya T-72B3 ambacho wametelekeza. Aliishiwa mafuta. Tunawafurumusha balaa
Your browser is not able to display this video.
 
Magari ya ugavi, tumeyashambulia. Yale ambayo hayajaharibika tukaondoka nayo na mzigo yote. Silaha na risasi. Tutatumia huko mbele


 
Eleron-3 Russian Reconnaissance Unmanned Aerial Vehicle (UAV). Mkoani Chernihiv.
 
Poland kuwatibu wanajeshi 10,000 watakaojeruhiwa Ukraine.
 
Madaktari 1100 wanejisajili kwenda Ukraine kusaidia Ukraine
 
Kifaru cha gharama aina ya 9A330 TLAR of 9K330 Tor-M surface-to-air missile system kiliharibiwa na kukamatwa mjini Ichnia mkoani Chernihiv
 
Sniper wote naona wanaelekea Donbas. Huyu yupo Azov
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…