Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Hizi ni Takwimu za kiongozi Wa Urusi alokamatwa huko Vuhledar.

Kwamba March 1, 2023 Walituma wanajeshi 100 Frontline kupambana na Ukriane huko Vuhledar, lakini walirudi 16 tu, na tarehe 5, March walienda 100 wakarudi 3. Hizi takwimu zimetolewa kwenye notebook yake
 
Nguvu kubwa mno pamoja na vifaa imewekwa huko kwenye hicho kimji.
Nadhani unaongea kwa kuhisi una ushahidi wowote. Urusi hawaamini yaani, walijuia itakuwa rahisi.

Swali langu kwako ni;

1. Ukraine ana brigades nyingi kuliko Urusi hadi Urusi ishindwe kutoboa na kuanza kulialia?

2. Kama Brigades zote zimeenda Bakhmut, huko kwingine kwanini Urusi hawasongi mbele?
 
Wao pia wameweka nguvu hapo Bakhmut
 
Hao hata wakifa wote boss haoni hasara yoyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…