Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Wanawinda kisichowindika. Siku wakiharibu hata HIMARS moja tu hatutalala siku hiyo kwa kelele za Pro Russia. 😂😂😂
 
Nadhani wanauwezo mdogo wa kusoma na kuelewa. Watukane watakavyo, sitaacha kupost mizoga ya Urusi🤣🤣🤣

Walichotakiwa kufanya ni kusema picha ni uongo au sehemu fulani mumepost uongo ni ukweli ni huu. Lakini kutukana na kejeli haiwasaidii watanzania. Nilitegemea watu wajifunze mbinu mpya za zana mpya za kivita kupitia hii Vita ya Ukraine na Urusi. Badala yake watu wabaleta matusi. Anayetukana namuona kichwa chake kimejaa Kamasi🤣🤣
 
Unajua Urusi, miaka nenda rudi wao ni Vita na majirani zake. Nia waogopwe na hawaogopwi. Wanabomoa miundombinu na majengo kutia hasara lakini bado wanapelekewa moto. Huyu jamaa katengeneza booklets kuhusu ufirauni, ushwetani na roho mbaya ya Urusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…