Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Kama kawaida, Wazee wa HIMARS wakikutembelea ukae ukijua kabisa kwamba ni jadi yao kukuachia Kifusi, Scrapers na Mizoga au Mishikaki watakapoondoka.
Halafu Mrusi atakaa sana kuziwinda hizo mashine kwani hajafahamu vizuri speed yake. Ni bora Atafute kazi nyingine ya kufanya aachane na kazi ya "kuwawinda wazee wa HIMARS".
Wanawinda kisichowindika. Siku wakiharibu hata HIMARS moja tu hatutalala siku hiyo kwa kelele za Pro Russia. 😂😂😂
 
Labda proUrusi wanadhani kwamba proUkraine hatujui na hatuamini au hatukubali kwamba wapiganaji wa Ukraine nao wanauawa katika mapambano yanayoendelea. ProUrusi hawajakubali kwamba SIO INTEREST ya uzi huu kuweka picha au video clips za pale Ukraine anapokuwa amepoteza au amefeli. jJambo hili liliwekwa bayana tangu mwanzo kwamba zinawekwa picha au vid clips za mafanikio ya Ukraine dhidi ya Urusi.
Sijui ni kwa nini proUrusi wanaung'ang'ania uzi huu kama Mrusi anavyoinga'ng'ania Bakhmut halafu mbaya zaidi wanakuja na matusi na ushabiki wa masuala ya ushoga n.k. - Inakera kwa kweli.
Nadhani wanauwezo mdogo wa kusoma na kuelewa. Watukane watakavyo, sitaacha kupost mizoga ya Urusi🤣🤣🤣

Walichotakiwa kufanya ni kusema picha ni uongo au sehemu fulani mumepost uongo ni ukweli ni huu. Lakini kutukana na kejeli haiwasaidii watanzania. Nilitegemea watu wajifunze mbinu mpya za zana mpya za kivita kupitia hii Vita ya Ukraine na Urusi. Badala yake watu wabaleta matusi. Anayetukana namuona kichwa chake kimejaa Kamasi🤣🤣
 
Wanajeshi wa Ukraine wamefundishwa Usafi. Handaki ndo Ofisi na bado nguo kila siku anavaa Safi
20230315_205424.jpg
 
Unajua Urusi, miaka nenda rudi wao ni Vita na majirani zake. Nia waogopwe na hawaogopwi. Wanabomoa miundombinu na majengo kutia hasara lakini bado wanapelekewa moto. Huyu jamaa katengeneza booklets kuhusu ufirauni, ushwetani na roho mbaya ya Urusi.
20230315_222545.jpg
20230315_222548.jpg
20230315_222550.jpg
 
Back
Top Bottom