figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #12,341
Zikifika ndipo ataona kilichomnyoa kanga manyoya. Daadek!Putin sasa kazidi. Eti hataki Uk impe Ukriane Vifaru aina ya Challenger 2. Yaani atuvamie na atupangie tutumie silaha gani? Kwanza ndo makamanda wanamalizia trainings. Challenger 2 zitakuja Ukraine..
View attachment 2561862
Duh!Limjamaa linatema kitu halafu linamalizia kama mvuta shisha. 😆 😆 😆Challenger 2 – all you need to know about UK's main battle tank.
View attachment 2561879
Yaani hii Komenti yako umenichekesha hadi machozi. Ikabidi nirudie kuangalia Video nikakuta kweli 🤣🤣🤣Duh!Limjamaa linatema kitu halafu linamalizia kama mvuta shisha. 😆 😆 😆
Hao ni mamba wanaota jua pembeni mwa Dimbwi. 😂😂😂Handaki la Warusi na Wegners
View attachment 2561790
Uzalendo kwa PutinMhh! Handaki limesheheni mizoga. Hivi hao jamaa; wanachofia hivyo ni nini?
Slava Ukraine [emoji1255]Urusi wamelalamika kwamba drone za majini na angani zimeshambulia meli zske zilizopo bandari ya Sevastopol. Hata sasa kuna kitu kinaungua bandarini
View attachment 2561433
Slava Ukraine [emoji1255]Mlipuko uliotokea huko Sevastopol, Crimea. Kazi nzuri ya kikosi cha anga cha Ukraine. Huu ni Mtikisiko wa kombora lililotua mjini Crimea
View attachment 2561434
Slava Ukraine [emoji1255]Majeshi ya Urusi yakifyatulia risasi drone za Ukraine zilizoshambulia mji wa Crimea leo usiku.
View attachment 2561436
Slava Ukraine [emoji1255]Rais Zelensky wa Ukraine ametembelea Frontline waliopo Bakhmut na kuwatia moyi leo tarehe 22 Machi 2023
View attachment 2561644
Slava Ukraine [emoji1255]Kikosi cha Ukraine cha 53rd brigade, kimesema imeharibu Convoy yote ya Urusi
View attachment 2561851
Slava Ukraine [emoji1255]Putin sasa kazidi. Eti hataki Uk isimpe Ukriane Vifaru aina ya Challenger 2. Yaani atuvamie na atupangie tutumie silaha gani? Kwanza ndo makamanda wanamalizia trainings. Challenger 2 zitakuja Ukraine..
View attachment 2561862
Slava Ukraine [emoji1255]Wataalam wa anga wanahoji, Mifumo ya Ulinzi wa anga ya Urusi ina Matatizo gani? Sababu Makombora yanapenya tu huko Crimea leo[emoji1787][emoji1787]
View attachment 2562014
Kichaa siyo lazima ale mavi. Huyu naye ni kichaa kama walivyo wengineMkuu wa Wagner PMC Yevgeny Prigozhin amemwandikia barua Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Anthony Blinken akitaka Marekani ifadhili na kushirikina mradi wa pamoja wa barani Afrika.
View attachment 2562264