figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #12,321
Hapa wamepelekewa makombora ya kutosha. Hao wengine majeruhi. Majeruhi wenyewe nasikia walimalizwa na droneππππ Siyo mizoga jamaa wako hai wamejifanya wamekufa. Ukiangalia vizuri wanatikisika. Ila macho yanaangalia juu, ukiwashushia bomu hapo ghafla wanafufuka ππ.