figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #12,281
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Very trueUkraine isipokuwa Makini Avdiivka itaanguka mapema zaidi ya Bakhmut. Kitendo cha kuhamisha mifumo ya Ulinzi na baadhi ya Wanajeshi kwenda Bakhmut, naona si sawa. Tayari Bakhmut ina kila kitu internet imekaa Vizuri. Avdiivka wataanza kuishi kwenye mahandaki. Japo Urusi inapelekewa moto kama kawa
View attachment 2559922
Slava Ukraine [emoji1255]
Slava Ukraine [emoji1255]Angalia Urusi walivyo pelekewa moto baada ya kuingia kichwa kichwa Avdiivka[emoji1787][emoji1787]
View attachment 2559924
Slava Ukraine [emoji1255]Huyu dogo yupo Avdiivka. Anasema mambo ni magumu. Hii ni jana
View attachment 2559926
Slava Ukraine [emoji1255]Uzuri ni kwamba, Urusi imetanguliza Mobilized kushambulia Avdiivka. Hapa wanalalamika kwamba 70% wamepungua kwa kuuawa, kutekwa na kujeruhiwa. Wanasema hawana mafunzo ya kitumia Silaha kubwa. Hawa Warusi Wanaomba msaada Avdiivka.
View attachment 2559929
Slava Ukraine [emoji1255]
Slava Ukraine [emoji1255]Bohari la Silaha na zana za Kivita huko Crimea, limekwenda na maji. Warusi wanalia
View attachment 2559938
Aisee! Ni Hatari mno. Huo moto ni balaa.Chopa za Ukraine zikipeleka moto kwenye mahandaki ya Urusi Frontline
View attachment 2559937
Hiyo sasa ni dalili na Ishara ya wazi kwamba Kazi imemshinda Prigozhin.Prigozhin analialia, anaiomba Wizara ya Ulinzi ya Urusi isaidie maana Ukraine wanakusanya nguvu kupiga counter offensive ya Nguvu sana Bakhmut.
Lakini ndo ukweli. Wanaombeba Russia kwenye vita ya Ukraine Frontline ni Wagner. Russia kazi yake kubwa ni kutoa Silaha wanazotaka frontline. Jamaa linawaambia ukweli kuwa kushindwa kwa Wagner ni kushindwa kwa Russia.Hiyo sasa ni dalili na Ishara ya wazi kwamba Kazi imemshinda Prigozhin.
Eti anamwomba Boss (Mrusi i.e.Mwajiri) wake sasa aje amsaidie. Dah! Ningekuwa mm ndo boss wake ningemwambia arudishe chap pesa aliyolipwa kwa kazi hiyo na ndo mwisho wa Mkataba. Namfukuza kazi fasta 😳 .
Mwisho wa yote, warusi watakapokwisha watabaki Wagner. Sasa je, Wagner ndio watakuwa jeshi rasmi la Urusi? Naona kama Urusi itasambaratika kwani sijawahi kusikia nchi ambayo usalama wa nchi hiyo uko mikononi mwa Mamluki.Lakini ndo ukweli. Wanaombeba Russia kwenye vita ya Ukraine Frontline ni Wagner. Russia kazi yake kubwa ni kutoa Silaha wanazotaka frontline. Jamaa linawaambia ukweli kuwa kushindwa kwa Wagner ni kushindwa kwa Russia.
Ujumbe wake jamaa uko very clear kwamba Ukraine inajiandaa kwa counter offensive, Russia nao wajiandae. Kuteketezwa kwa Wagner ndo kushindwa kwa Russia.
Prigozhin ni mjanja sana. Anawatanguliza kwanza wanajeshi wa Russia wao wanakaa line ya nyuma. Wanasagwa kweli kweli. Wazoefu wanaendelea kupiga mzigo.
Siku Wagner wakiamua kuasi Putin atapata tabu sana. Sema tu uzuri wake ni kwamba ni kikosi ambacho anakiamini hata kwa ulinzi wake binafsi. Siku Mtawala wa Russia akibadirika ana uwezo wa kukipiga marufuku hicho kikundi.Mwisho wa yote, warusi watakapokwisha watabaki Wagner. Sasa je, Wagner ndio watakuwa jeshi rasmi la Urusi? Naona kama Urusi itasambaratika kwani sijawahi kusikia nchi ambayo usalama wa nchi hiyo uko mikononi mwa Mamluki.