Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Siyo mizoga jamaa wako hai wamejifanya wamekufa. Ukiangalia vizuri wanatikisika. Ila macho yanaangalia juu, ukiwashushia bomu hapo ghafla wanafufuka πŸ˜‚πŸ˜‚.
Hapa wamepelekewa makombora ya kutosha. Hao wengine majeruhi. Majeruhi wenyewe nasikia walimalizwa na drone
 
20230322_121914.jpg
 
Nchi ya slovakia imepata punguzo la bei toka kwa Marekani kwa Helkopta aina ya Bell AH-1Z Viper kutokana na nchi ya Slovakia kuwasaidia Ukraine ndege zake 13 za kivita zisizotumika aina ya Mig-29.

Badala yake Marekani itaiuzia Slovakia Helkopta za kivita 12 kwa bei ya punguzo ya Dollar milioni 340 badala ya dollar bilioni moja.
 
Hivi ni vifaru vya Urusi aina ya T-54/55. Tutaanza kuviona vikichakazazwa Frontline soon. Vifaru hivi nj vya 1948🀣
View attachment 2561800
Mrusi kweli ana lake jambo. Hayo mazagazaga ya 1948 anatafuta mahali pa kuyatupa lakini kwa sharti yakiwa na askari wanaotakiwa kupunguzwa kazi kwa lazima au kustaafishwa kwa manufaa ya Kremlin.
 
Back
Top Bottom