Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Prigozhin inajiandaa "kupunguza" shughuli za PMC "Wagner" nchini Ukraine na "kuelekeza mawazo yake kwa nchi za Kiafrika"
View attachment 2563015
Mpumbavu huyo. Hawezi kupata pesa ndefu huko Afrika kama alivyozoa za Putin. Huko Afrika ataishia kazi ya kulinda migodi ya wakubwa. BTW askari wake wengi wameteketezwa nchini Ukraine.
Kwa mantiki hiyo hapunguzi shughuli kwa hiari ila kalazimika. Huko Afrika anaenda kubangaiza apate ya soda.
 
Yaani Marekani ingempa Ukraine silaha za Leonidas Stryker, sasa hivi tungekua tumeachana na habari za drones. Ina uwezo wa kushusha drone kwa mionzi tu. Inavuta kama Sumaku.. So hamna haja ya risasi.
20230221_023747.jpg
20230221_023727.jpg
20230221_023720.jpg
 
Estimates of the number of children involved range from 16,000 to over 300,000.The Office of the Ukrainian Prosecutor General said in December 2022 that nearly 800 had died or disappeared during the process of deportation.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Watoto laki mbili umewatoa wapi? Tunaomba chanzo na usiingie mitini

Ipi inajulikana na isiyo julikana ni ipi?
View attachment 2563006
Estimates of the number of children involved range from 16,000 to over 300,000.The Office of the Ukrainian Prosecutor General said in December 2022 that nearly 800 had died or disappeared during the process of deportation.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Estimates of the number of children involved range from 16,000 to over 300,000.The Office of the Ukrainian Prosecutor General said in December 2022 that nearly 800 had died or disappeared during the process of deportation.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mkuu. hapa sisi hatufanyi propaganda. Wala hatushindani na wewe Tumekuomba chanzo ili tuweke kumbukumbu sawa. Screenshot hiyo taarifa kama hivi halafu tupime. Hii hapa nimeitoa BBC, Imechapishwa siku 6 zilizopita. Je, chanzo chako cha habari ni wapi?
1679605729039.png
 
Bakhmut wanasubiriwa Warusi hawafiki. Inabidi michezo iendelee. Tangu Ijumaa iloisha Warusi walikuwa wanasema bado km 2¹½ Kuizunguka Bakhmut. Wanasubiri nini? [emoji1787][emoji1787]. Sema saa nyingine wana akili. Waliwekewa mtego wakashituka. Waliambiwa njooni tuna hali mbaya kesho tunareteat, kweli baadhi vikosi vya Wagners vikaja kichwa kichwa Bakhmut[emoji1787][emoji1787]
View attachment 2562662
Slava Ukraine [emoji1255]
 
Urusi iliteka watoto Kherson na kuwapeleka Urusi ili kuwafundisha mila za Kirusi na wakawabadilisha majina. Jumuiya ya kimataifa imrmkalia kooni, kaamua kuwarudisha. Urusi anaendelea kufail nia ovu yake. Wale Urusi wa kwa Mpalange waliokuwa wanafurahia watoto kutekwa na kupelekwa Urusi leo wamenuna.
View attachment 2562989
Slava Ukraine [emoji1255]
 
Mkuu. hapa sisi hatufanyi propaganda. Wala hatushindani na wewe Tumekuomba chanzo ili tuweke kumbukumbu sawa. Screenshot hiyo taarifa kama hivi halafu tupime. Hii hapa nimeitoa BBC, Imechapishwa siku 6 zilizopita. Je, chanzo chako cha habari ni wapi?
View attachment 2563268
We jamaa yani umechukua taarifa kutoka chombo cha propaganda alafu unasema hutaki propaganda kweli kazi ipo
Alafu tambua hao walio rudi wametaka wenyewe kurudi ndio maana wamerudishwa wachache

Sitaki kuwaharibia uzi ila kuna mengine mnazidisha

Chanzo kingine hiko USA TODAY NEWS
Screenshot_20230324-103911.jpg
 
Back
Top Bottom