OSEFUKANY
JF-Expert Member
- Jan 16, 2011
- 2,437
- 3,896
Safi sanaaa. Yan warusi wanajuta. Kipigo hicho ni balaa. Yule mmoja aliyetimua mbio kama swala ataenda kusimulia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi sanaaa. Yan warusi wanajuta. Kipigo hicho ni balaa. Yule mmoja aliyetimua mbio kama swala ataenda kusimulia.
Asante kwa kunipa darasa. Shukrani.Siku hizi barua zinatumwa kwa emails.
Mpumbavu huyo. Hawezi kupata pesa ndefu huko Afrika kama alivyozoa za Putin. Huko Afrika ataishia kazi ya kulinda migodi ya wakubwa. BTW askari wake wengi wameteketezwa nchini Ukraine.Prigozhin inajiandaa "kupunguza" shughuli za PMC "Wagner" nchini Ukraine na "kuelekeza mawazo yake kwa nchi za Kiafrika"
View attachment 2563015
Estimates of the number of children involved range from 16,000 to over 300,000.The Office of the Ukrainian Prosecutor General said in December 2022 that nearly 800 had died or disappeared during the process of deportation.Watoto laki mbili umewatoa wapi? Tunaomba chanzo na usiingie mitini
Ipi inajulikana na isiyo julikana ni ipi?
View attachment 2563006
Mkuu. hapa sisi hatufanyi propaganda. Wala hatushindani na wewe Tumekuomba chanzo ili tuweke kumbukumbu sawa. Screenshot hiyo taarifa kama hivi halafu tupime. Hii hapa nimeitoa BBC, Imechapishwa siku 6 zilizopita. Je, chanzo chako cha habari ni wapi?Estimates of the number of children involved range from 16,000 to over 300,000.The Office of the Ukrainian Prosecutor General said in December 2022 that nearly 800 had died or disappeared during the process of deportation.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Slava Ukraine [emoji1255]HIMARS: Kombora moja linatosha, tuhame position
View attachment 2562040
Slava Ukraine [emoji1255]Kombora moja limtosha kuwatawanya Warusi [emoji1787][emoji1787]
View attachment 2562633
Slava Ukraine [emoji1255]Bakhmut wanasubiriwa Warusi hawafiki. Inabidi michezo iendelee. Tangu Ijumaa iloisha Warusi walikuwa wanasema bado km 2¹½ Kuizunguka Bakhmut. Wanasubiri nini? [emoji1787][emoji1787]. Sema saa nyingine wana akili. Waliwekewa mtego wakashituka. Waliambiwa njooni tuna hali mbaya kesho tunareteat, kweli baadhi vikosi vya Wagners vikaja kichwa kichwa Bakhmut[emoji1787][emoji1787]
View attachment 2562662
Slava Ukraine [emoji1255]Urusi imeleta vifaru vya kizamani aina ya T-54. Hivi ndo vipambane na challenger? Nawaonea huruma hao wanajeshi watakaovitumia. Au ni wale kamandi ya Africa watapewa? Hata Tanzania kuna vifaru bora zaidi ya hivi
View attachment 2562684
Slava Ukraine [emoji1255]Moscow boys
View attachment 2562724
Slava Ukraine [emoji1255]Urusi iliteka watoto Kherson na kuwapeleka Urusi ili kuwafundisha mila za Kirusi na wakawabadilisha majina. Jumuiya ya kimataifa imrmkalia kooni, kaamua kuwarudisha. Urusi anaendelea kufail nia ovu yake. Wale Urusi wa kwa Mpalange waliokuwa wanafurahia watoto kutekwa na kupelekwa Urusi leo wamenuna.
View attachment 2562989
We jamaa yani umechukua taarifa kutoka chombo cha propaganda alafu unasema hutaki propaganda kweli kazi ipoMkuu. hapa sisi hatufanyi propaganda. Wala hatushindani na wewe Tumekuomba chanzo ili tuweke kumbukumbu sawa. Screenshot hiyo taarifa kama hivi halafu tupime. Hii hapa nimeitoa BBC, Imechapishwa siku 6 zilizopita. Je, chanzo chako cha habari ni wapi?
View attachment 2563268
Huyo ananuka sana harufu ya damu.Prigozhin anajaribu kujifanya kujua mipango mkakati ya Ukrain. Huyu ishakula kwake.
View attachment 2564087
Wenzake wanaleta ndege za kivita na challenger 2 yeye anawazaPrigozhin anajaribu kujifanya kujua mipango mkakati ya Ukrain. Huyu ishakula kwake.
View attachment 2564087