Slava Ukraine [emoji1255]Watoto wote walotekwa na Urusi watarudi kabla Putin hajafikishwa ICC. Eti kajiokotea watoto Ukraine. Wananchi wake hawana nguvu za kiume za kuzaa watoto?
View attachment 2563289
Slava Ukraine [emoji1255]
1. Nakubaliana na analysis yake kwa 100%. Thinking yake inaweza kuboreshwa kwa kuwekwa mikakati mizito. Approach anayoisema ni nzuri ikifanyiwa kazi na kuboreshwa zaidi.Prigozhin anajaribu kujifanya kujua mipango mkakati ya Ukrain. Huyu ishakula kwake.
View attachment 2564087
Ni aibu kwa Mrusi. Huyo Putin anastahili kabisa kujibu hoja mbele ya ICC.Urusi wanatrain watoto wadogo ili baaday wawe mercenaries. Then wanaomba wazazi wao wakasomee Urusi. Wengine wanapelekwa kama wanamichezo au watoto wa vipaji. Wakikua wanakua na roho mbaya za Kirusi
View attachment 2565464
Dah! Mungu awarehemu tu watoto hao maskini. Vita haina macho. Watatekwa wengi kwa kudra za Mwenyezi Mungu lakini bado wapo watakaouawa. Hakika Putin hii dhambi haitamwacha salama.Watoto wa Ukriane walio chini ya Urusi wanafundishwa vita. Wakikua waneletwa pigana Ukraine, ukiwaua unakua umeua kizazi chako. Ndo maana watoto wengi wametekwa.
View attachment 2565470