Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Prigozhin anajaribu kujifanya kujua mipango mkakati ya Ukrain. Huyu ishakula kwake.

View attachment 2564087
1. Nakubaliana na analysis yake kwa 100%. Thinking yake inaweza kuboreshwa kwa kuwekwa mikakati mizito. Approach anayoisema ni nzuri ikifanyiwa kazi na kuboreshwa zaidi.

2. Anataka kuiaminisha tactical team ya Ukraine wakifanya hivo watafanikiwa kitu ambacho ni mtego. The guy is provoking. Ukraine inatakiwa kuja na tactical tofauti kabisa ya namna ya kuigawa Donbas na kherson na wakati huo huo waweke presssure kubwa sana Kreminna na Svatove.

3. Russia/wagner wanajua kuwa Ukraine zinakuja mashine zenye very powerful gun. Russia troops hawataweza ku break frontline ya Ukraine.

4. Prigozhin anawaandaa Russia kisaikolojia kuwa hii vita hawatashinda kamwe. Askari wengi wa russia/wagner watauawa. Prigozhin anajua wazi kuwa this time long range missiles zinakuja na daraja la Crimea lazima litavunjwa tu. Daraja likivunjwa crimea inachukuliwa kiulaini.
 
Prigozhin sijui kama akirudi Urusi watamuacha salama. Ameanza kupingana na propaganda za Kremlin

Juzi kasema kuwa Urusi haipigani na NATO bali inapigana na Ukraine ila tu inasaidiwa vifaa na nchi za NATO
Hii kauli itasumbua sana namna viongozi wa urusi watakavyoshape narrative yao ili kuficha aibu ya kufeli huko Ukraine.
 
From Ukraine..
20230325_125008.jpg
 
Watoto wa Ukriane walio chini ya Urusi wanafundishwa vita. Wakikua waneletwa pigana Ukraine, ukiwaua unakua umeua kizazi chako. Ndo maana watoto wengi wametekwa.
 
Urusi wanatrain watoto wadogo ili baaday wawe mercenaries. Then wanaomba wazazi wao wakasomee Urusi. Wengine wanapelekwa kama wanamichezo au watoto wa vipaji. Wakikua wanakua na roho mbaya za Kirusi
View attachment 2565464
Ni aibu kwa Mrusi. Huyo Putin anastahili kabisa kujibu hoja mbele ya ICC.
Huo ni UKATILI dhidi ya watoto wadogo wasio na hatia. Hawajui ni nini kinachoendelea.
 
Watoto wa Ukriane walio chini ya Urusi wanafundishwa vita. Wakikua waneletwa pigana Ukraine, ukiwaua unakua umeua kizazi chako. Ndo maana watoto wengi wametekwa.
View attachment 2565470
Dah! Mungu awarehemu tu watoto hao maskini. Vita haina macho. Watatekwa wengi kwa kudra za Mwenyezi Mungu lakini bado wapo watakaouawa. Hakika Putin hii dhambi haitamwacha salama.
 
Back
Top Bottom