figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #12,421
Slava Ukraine [emoji1255]Hapa ni Aramil Urusi na hiki kituo cha Utafiti kinawaka moto
View attachment 2564438
Slava Ukraine [emoji1255]
Slava Ukraine [emoji1255]Urusi wamefurushwa kama mbwa koko
View attachment 2564573
Slava Ukraine [emoji1255]Mzigo wa Ukraine
View attachment 2564597
Slava Ukraine [emoji1255]Vifaru vya Urusi vimetekwa nyara vikiwa kwenye hali nzuri
View attachment 2565489
Slava Ukraine [emoji1255]Sarah karudi Frontline. Kashapona Mkono na anaufanyisha kazi Mkono kwa kuchimba Mahandaki
View attachment 2565492
Slava Ukraine [emoji1255]Jamani, naamini hata Urusi wanakubaliana na sisi kwamba HIMARS ni habari nyingine. Ni noma! Sikiliza Mlio
View attachment 2565511
Slava Ukraine [emoji1255]Bohari ya silaha za Urusi huko Novocherkassk Urusi
View attachment 2565534
Slava Ukraine [emoji1255]Bakhmut Snipers wa Ukraine
View attachment 2565554
Zele ana vijana watundu na wabunifu sana.Eti ni Drone ya landmines. Vita hufundisha mengi 🤣🤣
View attachment 2565814