Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Marekani imepeleka Patriot missile systems na Abrams MBT mapema zaidi kuliko ilivyo tegemewa. Hata hivyo wiki ijayo Mashujaa wanaweza wakahitimu mafunzo
20230326_165657.jpg
20230326_165702.jpg
 
Himars tuliwai kuwa nayo shule kwetu
Zilikuwepo nne
Na zote mkazitoa kama msaada kwa Ukraine siyo? 😀 😀 😀
Tunawabembeleza Urusi warudi kwako wakati bado wapo hi wao wanaleta Jeuri. Hii Vita Urusi hawawezi tena. Tumeshajipanga na Wanajeshi kibao kesho wanafuzu kutumia Silaha za Kisasa. Silaha chache, watu wachache, risasi na makombora mengi na Maafa mengi. Lazima Urusi wakaw.
View attachment 2566579
Hapo lazima Mrusi aombe poo.
 
Dogo humu watu hawakimbii kama kuna issue mtu anapost wengine tunasoma hatuna fujo na ujuaji mwingi kama kule kijiwe nongwa kwenu.
Hahaaha..blazaaa mmkembia mmeona bwana figaniga haja jipyaaa..huku anapost mrusi anapigwa mkienda kwenye reality mnaona teja zele anachapwaaa...ila sio issue huku mnapata faraja
 
Lol! Tela ww sijui kilewella kule unapigwaa na facts na majempe ya putin had kamasi zakutoka...we baki humu humu ndo kunakufaaa kule tuachie sie majemedari wa moscow
Mipini Gani?? Naandika kweli siyo habari za kuokoteza Twita ama kwenye mitandao ya kipropaganda. Kuna jambo gani sikutoa majibu yake??
 
Russia ni super power wa kwenye sinema siyo frontline battles.

Hoja zifuatazo zinadhibitisha hayo;

1. Kushindwa kuiteka Ukraine ndani ya masaa 72 na badala yake mwaka 1 na ushehe hajateka hata 25% ya ardhi ya Ukraine ni ushahidi kuwa kumbe Russia ni super power wa kwenye sinema.

2. Ukraine imetudhibitishia kuwa ina jeshi imara lenye mbinu za kisasa kuliko Russia/Wagner. Ndiyo maana ameweza ku hold frontline ya zaidi ya km 1,200 na kumthibiti Russia ashindwe ku advance ni ushahidi tosha kuwa Russia ni super power wa kwenye sinema.

3. Russia anayejiita super power kashindwa kuteka vimji vidogo kama Bakhmut, Vulhleder na Avdiivika zaidi ya mwaka sasa. Matokeo yake maeneo hayo yamekuwa machinjio ya wanajeshi wa anayejiita super power. Hii inadhibitisha kuwa ni super power wa kwenye sinema siyo frontline.

4. Kitendo cha kuelekeza hasira zake kwenye nyumba za makazi ya watu na kubomoa miundo mbinu ya umeme na maji badala ya kambi za jeshi na frontline ya Ukraine ni ushahidi mwingine kuwa Russia frontline battle hawezi. Ni ushahidi mwingine kuwa Russia hana uwezo mkubwa wa kijeshi tofauti na ambavyo tuliaminishwa kuwa ni super power.

Hitimisho.
1. Russia hatashinda vita hii iwe jua au mvua.

2. Russia mwaka huu ataondolewa kwenye maeneo yote ya Ukraine ikiwemo Crimea kwa aibu kubwa.

3. Russia baada ya kufurushwa maeneo yote ya Ukraine atabaki kurusha vikombora ambavyo vimeshinda kuwafanya wananchi wa ukraine ku frozen wakati wa winter kama alivyokusudia. Sasa hawezi tena na u super power wake wa kwenye sinema.
 
Neno lenye afya
 
Back
Top Bottom