Tunawabembeleza Urusi warudi kwako wakati bado wapo hi wao wanaleta Jeuri. Hii Vita Urusi hawawezi tena. Tumeshajipanga na Wanajeshi kibao kesho wanafuzu kutumia Silaha za Kisasa. Silaha chache, watu wachache, risasi na makombora mengi na Maafa mengi. Lazima Urusi wakaw.
Wanajeshi wa Ukraine leo wamehitimu mafunzo ya kutumia
AS-90 155mm Howitzers zilizotolewa na Britain. Hii inamanisha wiki ijayo wapo Mzigoni. Wanakuja na Mzigo wao walokuwa wanafanyia mazoezi