Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Dan Yupo Mariupol, kama kesho akituma Text, nitajua mzigo umefika. Leo wanazima vifaa vyote vya internet ili wasiweze onekana. Wakina Nance Washasepa. Kumbe masniper ni kama Komando tu. Hajakamatwa. Labda gari imuishie mafuta
 
Umeongea kweli Mkuu, Wanajeshi 500 wameondolewa Kwenye Mahandaki. Wametumiwa APCs wakatokea Njia ya Baharini. Ila bado wapo Mariupol
 
APC(Armoured personnel carrier) ni vifaru fulani vifupi cha kubeba Wanajeshi kutoka sehemu moja kwenda nyingine. Vimemwagwa pale kama 100. Kukikucha Urusi watashangaa wametorokwa vipi, Walijua leo Watajisalimisha. Ilikiwa Pori kwa pori. Vilikuwepo Vikosi Viwili. Kikosi cha Azov na Kikosi cha Marines. Marines walikuwa hawatajwi sababu walikuwa ni kwaajili ya backup. Na ndo Wamepokea Mzigo.
 
Nawapongeza 36th Marine Brigade kwa kazi nzuri. Kutorosha Watu 500 ndani ya saa moja na nusi si kazi ndogo. Azov wamesema Wanarudi kuutetea Mji.
 
Nacheka, jana Urusi walivyokuwa wanawashambulia Azov kwa mbali kisa wamekataa kujisalimisha. Hahahaaa...!! Sasa ni zamu yao. Urusi watauhama Mji wa Mariupol.
Your browser is not able to display this video.
 
Haya Magari mawili aina ya BM-27 Uragan multiple rocket launcher systems ya Urusi, yameharibiwa na kutekwa. Urusi akili zao wameziset kwamba Ukraine ni Kuingia na kuteka. Miezi Miwili sasa hawajateka hata Mikoa Mikoa 3 kati ya 24 ya Ukraine. Wanachojua ni kubomoa, nyumba, miundombinu, wizi wa vitu kama TV Pasi, Mafriji na kubaka.
Your browser is not able to display this video.
 
Gari la Ugavi la Urusi. Utadhani limetengenezwa kwa makaratasi.
Your browser is not able to display this video.
 
Azov wameanza kuwafundisha mambo ya Jeshi na ukakamavu watoto wadogo wote wa kike na kiume wenye umri kuanzia miaka 13. Ili wahakikishe Wanailinda Nchi wakikua na Wahakikishe Wanaulinda na kuutetea mji wa Mariupol hata wakizeheka. Wanapanda mbegu. Labda Urusi waue watu wote. But Mariupol hawawezi kaa wala kuiongoza. Wanatua silaha za moto sio mbao za mgambo wetu.
 
Angalia Watalii wa Urusi waliokuja Ukraine wamechoka na wamelala
 
Baba yako alienda Vitani Ukraine akafia huko.

Mtoto: Ukraine iliwakosea nini Urusi?

Mrusi: Tulitaka kuionesha dunia sisi ni wababe na tukipigwa risasi zinageuka maji. Tulitaka Dunia ijue tunaweza kuiteka Ukraine yote ndani ya Siku tatu. Tulitaka dunia ijue Ukraine haina uwezo wa kuteka wala Kulipua hata kifaru chetu kimoja cha Jeshi.

Mtoto: Ikawaje?

Mrusi: Ilituchukua miezi Miwili kuuteka Mji mdogo wa Mariupol ambao upo KM 1000 kutoka Moscow.

Mtoto: Ikawaje?

Tulikanyagwakanyagwa.

 
Mkuu pamoja Sana na ukicheki hii vita ni kama Kuna kutambiana flani hivi Yani Kila upande unamuonyesha mwenzake kwamba Mimi ni zaidi yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😀😀 taratiiiibu unaanza kuuona ukweli.tutafika tu
 
Mariupol. Kifaru cha Urusi aina ya T-80BV Kimeharibiwa na Azov. Leo Azov wameteketeza Vifaru 4 na Tigr-M mali ya Urusi.
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…