Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

20230403_091007.jpg
 
Hivi vifaru vilivyo chakazwa ni vya Urusi. Ha napa ni Vuhledar Urusi walitumia mwezi mzima kujiandaa na hii offensive lakini matokeo yake wote wamefutwa kwenye uso wa Dunia
View attachment 2574760View attachment 2574761View attachment 2574762View attachment 2574763
Duh! Hivi hebu tuulizane tu jamani: Mrusi ni binadamu au ni kiumbe kinachofanana na binadamu kimaumbile? Yan hadi adui unayepigana naye (Ukraine)anakufundisha / anakushauri ufanye nini lakini husikii umekaza shingo. Hivo vifaru Mrusi alikuwa anavitafutia dampo la kuvitupa?
 
Na wanajeshi wake kawatafutia sehemu ya kuokwa kama ndafu au kutupia mizoga
 
Kikosi kutoka K-2 battalion. Pambani la "T-pattern". PART TWO. Dereva wa kufaru baada ya kuishiwa makombora, hakuondoka bali alianza kufukia mahandaki walipo jificha Wanajeshi 28 wa Urusi. Hadi alipoongezewa nguvu wakaja kuwakamata Warusi kama kuku wengine walisagwasagwa
 
Kama kesho Finland atakuwa member wa NATO, atafanya mpaka wa Urusi na NATO kutoka 1,215 kilometa hadi 2,600 kilometa. Malengo ya Urusi kuivamia Ukriane ilikuwa kuzuia NATO kusogea mpaka wa Urusi. Sasa Nato wanamsogelea Mara dufu. Ndo ajue Ukriane aliionea bure. Kama ni adui kusogelea mpaka wake ndo imekuwa zaidi.
20230403_235344.jpg
 
Back
Top Bottom