Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Duh! Hivi hebu tuulizane tu jamani: Mrusi ni binadamu au ni kiumbe kinachofanana na binadamu kimaumbile? Yan hadi adui unayepigana naye (Ukraine)anakufundisha / anakushauri ufanye nini lakini husikii umekaza shingo. Hivo vifaru Mrusi alikuwa anavitafutia dampo la kuvitupa?
 
Na wanajeshi wake kawatafutia sehemu ya kuokwa kama ndafu au kutupia mizoga
 
Kikosi kutoka K-2 battalion. Pambani la "T-pattern". PART TWO. Dereva wa kufaru baada ya kuishiwa makombora, hakuondoka bali alianza kufukia mahandaki walipo jificha Wanajeshi 28 wa Urusi. Hadi alipoongezewa nguvu wakaja kuwakamata Warusi kama kuku wengine walisagwasagwa
Your browser is not able to display this video.
 
Kama kesho Finland atakuwa member wa NATO, atafanya mpaka wa Urusi na NATO kutoka 1,215 kilometa hadi 2,600 kilometa. Malengo ya Urusi kuivamia Ukriane ilikuwa kuzuia NATO kusogea mpaka wa Urusi. Sasa Nato wanamsogelea Mara dufu. Ndo ajue Ukriane aliionea bure. Kama ni adui kusogelea mpaka wake ndo imekuwa zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…