figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #13,141
Hii Helkopta aina ya Mi-17-B5 ilikuwa inakipiga Afghanistan, sasa ipo Ukriane
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mh! Anaogopa kusema sio km. 2 tena bali zinaongezeka kila siku kwani hata yule mamluki Prigozhin katamka ana mpango wa kusepa kutokana na kichapo kitakatifu kinachoendelea hapo.Msione Urusi hawasongi mbele mkadhani hawapambani au wamepuuza. Ukweli ni kwamba wanakutana na vijana wa Ukriane mzizi wa mpingu. Wanatumia mbinu zote na uwezo wao lakini wapi. Leo Urusi karusha Missiles 18 lakini 3 tu ndo zimegusa ardhi. Nyingine zinetunguliwa. Sasa hivi Ukriane wanatunia mifumo ya Ulinzi wa anga aina ya Buk-M1, S-300, Nasams, Iris-T, na Patriot. Zingatia Ukraine ni Nchi ndogo sana labda mara nne yake ndo uipate Tanzania. Lakini kamdindia Urusi hadi aibu. Bakhmut mwezi wa kumi sasa kila siku wanasema tumeizunguka Bakhmut bado Km 2 tu kuzunguka.
Kuna jamaa alicomenti hapa nataka nimuulize km 2 ziraisha lini?
View attachment 2606437
We wish u all the best. Remember to slap hard that "rude boy" straight in the eyes. No mercy.We don't talk much, we just say what we need to.
Thank you very much for your help and support.
Slava Ukraine!
View attachment 2606459
Bro hebu kuwa serious uwe unafanya na research Ukraine ni ¹/4 ya Tanzania [emoji848]Msione Urusi hawasongi mbele mkadhani hawapambani au wamepuuza. Ukweli ni kwamba wanakutana na vijana wa Ukriane mzizi wa mpingu. Wanatumia mbinu zote na uwezo wao lakini wapi. Leo Urusi karusha Missiles 18 lakini 3 tu ndo zimegusa ardhi. Nyingine zinetunguliwa. Sasa hivi Ukriane wanatunia mifumo ya Ulinzi wa anga aina ya Buk-M1, S-300, Nasams, Iris-T, na Patriot. Zingatia Ukraine ni Nchi ndogo sana labda mara nne yake ndo uipate Tanzania. Lakini kamdindia Urusi hadi aibu. Bakhmut mwezi wa kumi sasa kila siku wanasema tumeizunguka Bakhmut bado Km 2 tu kuzunguka.
Kuna jamaa alicomenti hapa nataka nimuulize km 2 ziraisha lini?
View attachment 2606437