Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi


20230502_070221.jpg


20230502_070823.jpg
20230502_070914.jpg
20230502_070931.jpg
20230502_070938.jpg
20230502_070950.jpg
20230502_071018.jpg
20230502_071028.jpg
20230502_071109.jpg
20230502_071219.jpg
20230502_071228.jpg
20230502_071309.jpg
20230502_071335.jpg

 
President Zelensky: "Our state has already proven that it can win. We have proven that we can liberate our land from the occupier. All those who ensure the de-occupation have proven that together with the blue and yellow flag, normal life returns for every person and every family. Our goal is to return this life to the whole of Ukraine, to all those areas that are still temporarily under occupation."
20230502_122340.jpg
20230502_122342.jpg
20230502_122345.jpg
 
Bro hebu kuwa serious uwe unafanya na research Ukraine ni ¹/4 ya Tanzania [emoji848]
Unaona inaikomalia Urusi ukajua Ukraine ni kubwa? Pamoja na kwamba nimetia mbwembwe ila ukweli ni Tanzania ni Kubwa kuliko Ukraine.

Tanzania ina eneo la 947,300 km² (365,754 mi²), Wakati ukiraine ikiwa na eneo la 603,550 km² tu lakini Wanalisha Dunia. Eneo wanalolima ni dogo hata ⅛ ya eneo tuliko Tanania. Achilia mbali hiyo unayosema ¼. Huwezi kuamini. Ukriane inaingia mara 28 kwa nchi ya Urusi.
 
Hii vita Urusi hatoboi. Ukriane ina Mikoa 28, lakini Urusi inayolewa Jasho na Mikoa 4 hadi sasa hivi mwaka mzima. Kabla ya Vita walijitapa Ukraine itatekwa ndani ya masaa 72 kwasababu ni ndogo. Lakini sasa mwaka umeisha na miezi. Hakuna wanapomiliki 100% kwenye hiyo Mikoa Minne.

Leo Syrsky katembelea tena Bakhmut.
 
Unaona inaikomalia Urusi ukajua Ukraine ni kubwa? Pamoja na kwamba nimetia mbwembwe ila ukweli ni Tanzania ni Kubwa kuliko Ukraine.

Tanzania ina eneo la 947,300 km² (365,754 mi²), Wakati ukiraine ikiwa na eneo la 603,550 km² tu lakini Wanalisha Dunia. Eneo wanalolima ni dogo hata ⅛ ya eneo tuliko Tanzania. Achilia mbali hiyo unayosema ¼. Huwezi kuamini. Ukriane inaingia mara 28 kwa nchi ya Urusi.
Wahenga waliwahi kusimulia kwamba ukubwa sio hoja bali maarifa kwa kutoa mfano wa jinsi chura(frog) anavyomwuua tembo(elephant) licha ya ukubwa wa tembo ukilinganisha na ule wa chura.
 
Back
Top Bottom