Mkuu; Kuna tofauti kubwa sana katika kupigana ili udhulumu/uchukue kitu au mali kwa nguvu na kupigana ili uilinde mali na uhai wako. Anayepigana kulinda mali na uhai hupigana kufa na kupona bali yule anayepigana ili adhulumu hutanguliza maslahi binafsi zaidi.Hii vita Urusi hatoboi. Ukriane ina Mikoa 28, lakini Urusi inayolewa Jasho na Mikoa 4 hadi sasa hivi mwaka mzima. Kabla ya Vita walijitapa Ukraine itatekwa ndani ya masaa 72 kwasababu ni ndogo. Lakini sasa mwaka umeisha na miezi. Hakuna wanapomiliki 100% kwenye hiyo Mikoa Minne.
Leo Syrsky katembelea tena Bakhmut.
View attachment 2607574