Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Msione Urusi hawasongi mbele mkadhani hawapambani au wamepuuza. Ukweli ni kwamba wanakutana na vijana wa Ukriane mzizi wa mpingu. Wanatumia mbinu zote na uwezo wao lakini wapi. Leo Urusi karusha Missiles 18 lakini 3 tu ndo zimegusa ardhi. Nyingine zinetunguliwa. Sasa hivi Ukriane wanatunia mifumo ya Ulinzi wa anga aina ya Buk-M1, S-300, Nasams, Iris-T, na Patriot. Zingatia Ukraine ni Nchi ndogo sana labda mara nne yake ndo uipate Tanzania. Lakini kamdindia Urusi hadi aibu. Bakhmut mwezi wa kumi sasa kila siku wanasema tumeizunguka Bakhmut bado Km 2 tu kuzunguka.

Kuna jamaa alicomenti hapa nataka nimuulize km 2 ziraisha lini?
Your browser is not able to display this video.
 
Mh! Anaogopa kusema sio km. 2 tena bali zinaongezeka kila siku kwani hata yule mamluki Prigozhin katamka ana mpango wa kusepa kutokana na kichapo kitakatifu kinachoendelea hapo.
 
Dunia nzima wanaounga Mkono uvamizi ya Urusi nchini Ukraine ni Nchi nne tu ambazo ni Armenia, Brazil, Kazakhstan, China. Anayeunga mkono Uvamizi wa Urusi ni Vichaa tu.
 
Bro hebu kuwa serious uwe unafanya na research Ukraine ni ¹/4 ya Tanzania [emoji848]
 
Kifaru kimoja kinaweza ua hadi wanajeshi 200. Ndo maana wakikamata Ukriane wanashangilia sana. Hata Mrusi mmoja akifa ni Ushindi. Anaweza ua hadi watu 60 kwa mkupuo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…