Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Kikosi cha 54th Mechanized Brigade cha Ukraine kikiwapa chai Wanajeshi wa Urusi mkoani Donetsk
Your browser is not able to display this video.
 
Angalia Magari ya Jeshi ya Urusi yalivyoteketezwa. Nimeshindwa kuhesabu. Silaha zao tumejibebea. Hakika leo ni Alhamisi Kuu. Jumamos, tunawapa dawa tena Urusi🀣🀣
Your browser is not able to display this video.
 
Ukraine wamefanikiwa kuuwa Wavamizi zaidi ya 200 Mashariki mwa Ukraine tu.

Vifaa vyao vilivyoharibiwa ni pamoja na;
β–ͺ️5 Vifaru
β–ͺ️2 BMP(Magari ya kubebea Askari)
β–ͺ️1 APC(Kubebea wafanyakazi wa kivita)
β–ͺ️1 artillery system
β–ͺ️9 Magari ya Mizigo
β–ͺ️1 Ndege
β–ͺ️3 UAVs(Hizi ni zile drone nilizopost hapa.
 
Kifaru cha Urusi aina ya T-72 kikiwa Mikononi mwa Ukraine. Kimetekwa. Hapa wanakitest kidogo ili kiendelee kazi.
Your browser is not able to display this video.
 
Urusi wametuletea hawa watu Mkoani Luhansk. Tukiwafyatua tusilaumie. Jumamos yaja. Eti wanajiita 208 regiment.. Ngoja tuone Cheche zao
 
Hizi pesa za Urusi watu zinawapeleka Pabaya. Natamani wangekutana na Azov🀣🀣
 
Kiongozi ww ni mutu makini mnooo. Vp yule kamanda mkuu wa Azov denis yupo hai?
 
Your browser is not able to display this video.
 
Mariupol sehemu ambayo Urusi hawataki kusogeza pua🀣🀣 Leo kimenuka balaa
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…