Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Kikosi cha 54th Mechanized Brigade cha Ukraine kikiwapa chai Wanajeshi wa Urusi mkoani Donetsk
 
Ukraine wamefanikiwa kuuwa Wavamizi zaidi ya 200 Mashariki mwa Ukraine tu.

Vifaa vyao vilivyoharibiwa ni pamoja na;
▪️5 Vifaru
▪️2 BMP(Magari ya kubebea Askari)
▪️1 APC(Kubebea wafanyakazi wa kivita)
▪️1 artillery system
▪️9 Magari ya Mizigo
▪️1 Ndege
▪️3 UAVs(Hizi ni zile drone nilizopost hapa.
20220421_230322.jpg
 
Kifaru cha Urusi aina ya T-72 kikiwa Mikononi mwa Ukraine. Kimetekwa. Hapa wanakitest kidogo ili kiendelee kazi.
 
Urusi wametuletea hawa watu Mkoani Luhansk. Tukiwafyatua tusilaumie. Jumamos yaja. Eti wanajiita 208 regiment.. Ngoja tuone Cheche zao
20220421_232009.jpg
 
Hizi pesa za Urusi watu zinawapeleka Pabaya. Natamani wangekutana na Azov🤣🤣
20220421_232306.jpg
20220421_232232.jpg
20220421_232202.jpg
 
Kiongozi ww ni mutu makini mnooo. Vp yule kamanda mkuu wa Azov denis yupo hai?
 
Mariupol sehemu ambayo Urusi hawataki kusogeza pua🤣🤣 Leo kimenuka balaa
 
Back
Top Bottom