Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Mkuu; Kuna tofauti kubwa sana katika kupigana ili udhulumu/uchukue kitu au mali kwa nguvu na kupigana ili uilinde mali na uhai wako. Anayepigana kulinda mali na uhai hupigana kufa na kupona bali yule anayepigana ili adhulumu hutanguliza maslahi binafsi zaidi.
 
Ndo maana wamewatanguliza Wagners. Mariupol wanapakia chuma na kupeleka Urusi. Soledar wanachukua Chumvi wananapeleka Urusi. Wanajeshi wanaiba kwenye maduka, majumba na Sehemu za Starhw7. Wanaiba pasi hadi Mashine za kufulia.

Hii chopa ya Urusi ililipuliwa Ukriane, ikakutwa imwbeba mashine za kufulia badala ya Makombora
 
Dah! Mrusi bhana- anajidhalilisha mno. Hata mashine ya kufulia ya wizi inabebwa kwa kifaru!!!!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…