Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Drone za Ukriane zinafika Moscow. Hii itawafanya nao wakae roho juu muda wote. Ni ishara kwamba Ukriane ikiamua kusasambua Moscow inaweza. Ngoja tukomboe ardhi kwanza

Haoa ni Kremlin
Your browser is not able to display this video.
 
Warusi baada ya kuvamia Ukraine, Wakaja na Mafuta na kuweka kwenye vituo vya kuhifadhi mafuta na bohari za mafuta.

Leo Mji wa Stavropol, Maghala ya mafuta na vilainishi vimekenda na maji. Inatakiwa tuwakatie mafuta ya vifaru vyao ndo wawindwe kwa uzuri
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Mkuu wa Kikosi cha Wagners bwana Prigozhin akimuonesha Putin hasa Warusi, miili ya Wanajeshi wake zaidi ya 116 waliouawa ndani ya siku moja huko Bakhmut. Anataka aongezewe Jeshi na Vifaa.

View attachment 2610531
Huyu Prigozhin au ni Mjinga au ni mshenzi. Mtu mwajiriwa; Unawezaje kumgombeza Boss wako eti hakutimizii matakwa yako? Very simple- Acha kazi kafanye kazi kwingine.
 
Mkuu wa Kikosi cha Wagners bwana Prigozhin akimuonesha Putin hasa Warusi, miili ya Wanajeshi wake zaidi ya 116 waliouawa ndani ya siku moja huko Bakhmut. Anataka aongezewe Jeshi na Vifaa.
View attachment 2610531
Kiakili hayuko sawa Prigozhin. Ana psychological trauma. Damu ya wa-Ukraine wasio na hatia inamwandama.

Big up Ukranian troops
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…