Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi
Haya magari ya America yanaitwa MRAP Oshkosh M-ATV. Uzuri wake ni hayapati madhara makubwa hata yakikanyaga bimu la kutega ardhini. Hivyo huwa wanayatanguliza mbele kulinda vifaru visilipuliwe.
Nasikia Marekani wanataka yawe mbadala wa M1114 HMMWVs sababu yanafanya kazi vizuri Frontline. Haya Magari yaliletwa Ukraine kimya kimya. Kabla ya hapa yalikuwa yakikipiga huko Afghanistan
Haya Makombora ndo yanaitwa JDAM-ER ya Marekani. Hapa yapo Ukraine
Wagners wanakufa ovyo ovyo. Walijua watafika 10 May ili Prigozhin awaokoe na kichapo
Hawa Warusi walijifanya wamekufa, kumbe drone inawaangalia. Ikibadi vijana wa Mortarmen kutoka kikosi cha 501st cha marine battalion wafanye kazi yao. Hakuna Mrusi alipona