figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #13,281
Haya magari ya America yanaitwa MRAP Oshkosh M-ATV. Uzuri wake ni hayapati madhara makubwa hata yakikanyaga bimu la kutega ardhini. Hivyo huwa wanayatanguliza mbele kulinda vifaru visilipuliwe.
Nasikia Marekani wanataka yawe mbadala wa M1114 HMMWVs sababu yanafanya kazi vizuri Frontline. Haya Magari yaliletwa Ukraine kimya kimya. Kabla ya hapa yalikuwa yakikipiga huko Afghanistan
Nasikia Marekani wanataka yawe mbadala wa M1114 HMMWVs sababu yanafanya kazi vizuri Frontline. Haya Magari yaliletwa Ukraine kimya kimya. Kabla ya hapa yalikuwa yakikipiga huko Afghanistan