Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Hawa Warusi walijifanya wamekufa, kumbe drone inawaangalia. Ikibadi vijana wa Mortarmen kutoka kikosi cha 501st cha marine battalion wafanye kazi yao. Hakuna Mrusi alipona
View attachment 2611688
Hahahaa. Kuna mmoja ni kama anamwelekeza(Amri) mwenzake aliyejirani naye "We fala sogea mbele hv halafu tulia usijitingishe-tingishe !!!" Lakini mwisho wote wameenda na maji.
 
Hii habari sio ya uhakika. Fuatilia tena kwenye vyanzo sahihi hasa Jeshi la anga la Ukraine au Msemaji wa Jeshi la Ukraine. Usiiamini hii
Msemaji wa jeshi ndo aliyesema kuhusu taarifa hii. Ni kazi ya Patriot air defense system
 
Ngoja leo nipost mtifuano. Hawa ni Wanajeshi wa Belarus wanaoisaidia Ukraine. Hiki kikosi kinaitwa Terror Battalion na hapa ni Khromov

Sehemu ya kwanza
Your browser is not able to display this video.
 
ViongoI wa Battalion ya Urusi wamekwenda na Maji. Najiuliza, Ukraine walifuata nini?

1 - Major Andrey Lukyanov;

2 - Captain Yaroslav Kiskorov;

3 - Captain Andrey Kirilin;

4 - Captain Yuri Arkhipov;
 
Urusi baada ya kuona Drone za Ukriane zinapiga misele Moscow kila siku, wameamua kuongea Ulinzi wa anga uelekeo wa Ukraine ili drone isikatize kwenda Mjini. Ngoja tuone kama itapita au La.. Bora sasa wameanza kuihisi na kuonja machungu ya vita. Wananchi wakiona hivi watajua hawapo salama hivyo nyodo za Warusi zitapungua
Your browser is not able to display this video.
 
Wagners wanakufa ovyo ovyo. Walijua watafika 10 May ili Prigozhin awaokoe na kichapo
View attachment 2611654
1. Prigozhin kaamua wanajeshi wa wagner ambao wako frontline zingine waende Bakhmut kwa lengo la kuichukua Bakhmut yote kabla ya 09/05.

2. Ngoja tuone, Meat Grinder inawasubiri Bakhmut. Hata kama watachukua Bakhmut yote lakini nao watakuwa wamebaki wachache.

3. Kumbe zile propaganda zake eti wanajeshi wa chechen ndo wanaenda kuchukua position ya Wagner Bakhmut ni danganya toto. Ni wanajeshi wa wagner ndo wanaongezwa Bakhmut.
 
Sehemu inayoutwa Pervomayske huko Urusi iliyopo Mkoani Sverdlovsk, Bohari 18 znateketea kwa moto. Bohari hizo ni mali ya Gefest-M company inayotengeneza risasi. Wanadai bohari zilikuwa na gunpowder na risasi pia. Sasa wananchi wa makazi ya karibu wanahamishwa
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Hawa jamaa kuikamata Bakhmut watafanikiwa. Swali ni watadumu yako wiki ngapi?

Sababu ni sehemu ya kimkakati ya Ukraine. Bakhmut ngumu hata Urusi wanajua.. Watashinda pambano ila sio Vita.

Warusi wanakufa sana Bakhmut, wanajifanya hamnazo tu
 
Waende waendao lakini wakae wakijua kiwembe ni kilekile. 💪 💪 🔨 🔨
 
Mrusi sekunde 2 tu kashafyatua lundo la mzigo [emoji23][emoji23][emoji23]. Sijui kakaa na mavi yake siku tatu bila kutoka kwenye handaki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Huyu mshenzi sana. Eti anachambia kutumia mkono wa kulia. Inawezekana labda ni mashoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…