Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Ukisikia mtu (Putin) anaanza kutangazia dunia kwa matukio makubwa hivyo (jana) eti anataka kupinduliwa, ujue kaanza kutepeta. Eti Ukraine inatumiwa na masters wao kutaka kumpindua.

Anatafuta huruma ya wananchi
Mfa maji haachi kutapatapa. Usupapawa na ubabe vimeishia wapi? 😱
Mbona hili timbwili kalianzisha mwenyewe?
 
Kweli kichwa cha Putin kimejaa tope. Yan muda wote huo (zaidi ya 1yr)alikuwa hajui kwamba nchi yake iko vitani? Sasa ndo anajua alikuwa hajui.
Kashaanza kuona kuwa vita hii hashindi.

1. Missiles na Drones zake sasa zimeanza kutunguliwa. Russia alikuwa anaisumbua Ukraine kwenye mashambulizi ya anga. Sasa anga la Ukraine linaanza kulindwa. Kazi nzuri ya Patriot na IRIS-T inaanza kuonekana.

2. USA ametoa package nyingine ambapo itakuwa na air defense systems most likely more Patriot & IRIS-T baada ya kuonyesha ufanisi kwenye Hypersonic missiles za Russia.

3. Wagner walichokipata jana Bakhmut hawatakisahau. Pamoja na kwamba juzi 8/05/2023 walifanikiwa kuchukua eneo zaidi lakini wameipata.
 
Angekuwa ni mtu wa kushaurika, angeachana na kuwa king'ang'anizi kwenye hayo maeneo ya Ukraine aliyokwapua na ndo hadi sasa yamemgharimu mno.
 
Wazee wa Freedom of Russia Legion wapewe maua yao
 
Hawa ndo The Freedom of Russia Legion wanaoisaidia Ukraine kupambana na Urusi ndani ya Urusi

Mashambulizi yao ndani ya Urusi ameongezeka sana. Moto kila kona. Hadi Putin kakiri hawa jamaa ni hatari
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…