Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Uingeleza isha anza kupeleka cruise missile Ukraine
newsistaan.in-20230511-0001.jpg
 
Uingeleza isha anza kupeleka cruise missile Ukraine View attachment 2617830
Wanaume (USA, German, NATO and allies) wameshaamua kushugulika na Putin mpaka atakapoomba poo. Wanaume wana test mitambo yao kujua Russia ana nguvu kiasi gani (military Power fire).

Zikianza kutumika na kusikia kishindo Warusi watatujulisha tu.

Watakuwa wameshajua ndo maana wameanza kusogeza ofisi zao mbali.
 
Kusogeza Ofisi mbali hakutasaidia. Kilichopo ni Mrusi kuondoka mazima Ukraine. Mrusi aachane na Ardhi ya Ukraine - arudi kwenye ardhi yake halali ya Rusia. Hilo ndo la msingi sana. Vinginevyo asubiri kipondo tu.
 
Back
Top Bottom