Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Mrusi baada ya kuona kabaki peke yake, ikabidi aiombe msamaha drone. Mara ya kwanza alijaribu kuirushi risasi. Ila ikamuelekeza aifuate hadi wanajeshi wa Ukraine walipo akatiwa kamba mikono nyuma
Your browser is not able to display this video.
 
Maazimisho ya Mashujaa mwaka huu Urusi yalikuwa ya Kinyonge sana. Mbona hatujaona zile zana za kutisha za kivita? Zimeenda wapi? Nani kazilipua zote? Wametumia kifaru aina ya T-34 tu🤣🤣
View attachment 2617281
Labda wamezipeleka field. Mbwembwe zimeshaisha. Wangeweka Tanks, S-400/300 na intercontinental zao wanaume wangezitamani. Wangezishughulikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…