Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

1. Russia kazi anayo. Wanaume wanaimarisha ulinzi wa anga wakati yeye makombora yake ya Hypersonic yameshindwa kupenya. mwarobaini (Patriot) umepatikana.

2. Kabakisha silaha moja tu nzito nayo ni intercontinental missiles. Wanasubiri arushe walete mwarobaini wake.

3. Alipiga propaganda kuwa ka destroy Patriot wanaume wakamwambia hiyo ni minor damage akabisha. Leo wamesema machine inapiga mzigo baada ya kurekebisha minor damage.
 
Bakhmut ilionekana ni ndogo, lakini Warusi 70,000 wamekwenda na Maji ndani ya hii miezi 11 ya kutaka kuiteka
Nguvu za Bakhmut tuzipeleke kwingine tu. Hatuna chetu tena. Ardhi ishatekwa kimabavu. Huu ni ukoloni. Ila hawatadumu Bakhmut.
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…