Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Mwanajeshi wa Urusi wa kikundi cha Wagners anasema garama na thamani ya Wanajeshi wa Urusi waliokufa ni kubwa kuliko thamani ya Bakhmut. Hawaoni sababu ya Wanajeshi wote kufa juu ya mji usio na chochote wa Bakhmut
View attachment 2631690
Slava Ukraine [emoji1255]
Slava Ukraine [emoji1255]
Slava Ukraine [emoji1255]
 
Mnachekesha sana, mbona hawana alama walisokuwa nazo kwenye video?
Very Good question.

1. Mbona mazingira yanafanana na aliokuwa anawaonyesha Prigozhin

2. Umeua wanajeshi 70 unaonyesha picha ya watu 6. Tena picha zenyewe ni still picture au Urusi hakuna video.? Uongo mwingine unakosa radha kabisa.

3. Hana tofauti na aliye post majeneza ya wanajeshi 4 wanamaji wa marekani na kudai eti ni operatpr wa Patriot waliouawa baada ya kuteketezwa Patriot.

4. Unaonyesha eti magari yaliyoharibiwa. Huku anasema vifaru, picha inayoonyesha ni ya gari la kawaida tena limepaki kwenye fensi kubwa ya Russia. Mtu anayeenda kuvamia sehemu anaingia kwenye compound kubwa inayomilikiwa na Russia na kupaki gari. This is ridiculous!!!.

5. Mapoyoyo yote yasiyopata muda wa kutafakari na kujiuliza yameamini. Gari inayoonyeshwa kabla haijateketeza ni tofauti na kinachoonekana kimeteketewa tena mazingira tofauti. Zima liko porini lililoteketezwa liko kwenye fensi kubwaaaa. Ama kweli akili ni mali.
 
Japan wametoa Magari 100 ya Kivita kwa Ukriane
20230524_220949.jpg
 
Katika Operatiob Maalum iliyofanyika Urusi Mkoani Belgorod, Mkuu wa Kikosi anayejulikana kama White Rex hakuna Mwanajeshi wa Ukriane hata mmoja aliyepoteza maisha bali wawili wamejeruhiwa. Hawa hapa waloenda kupiga kazi Urusi
 
Back
Top Bottom