Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Ukiona wanaume na dada zao wako kwenye round table namna hii usije ukafikiri ni masihara kuwa wanapiga story tu. Wako na jambo lao.
58b4f30e-7a74-4f27-a16d-41693915eb6f.jpeg
 
Anayejua kuhusu vifalu vya Leopard na Ablams vilipo atujuze manake sijasikia ufanisi wake uwanja wa vita.
 
Mwanajeshi wa Urusi wa kikundi cha Wagners anasema garama na thamani ya Wanajeshi wa Urusi waliokufa ni kubwa kuliko thamani ya Bakhmut. Hawaoni sababu ya Wanajeshi wote kufa juu ya mji usio na chochote wa Bakhmut
 
Back
Top Bottom