kawombe
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 14,239
- 15,876
Slava Ukraine [emoji1255]Mwanajeshi wa Urusi wa kikundi cha Wagners anasema garama na thamani ya Wanajeshi wa Urusi waliokufa ni kubwa kuliko thamani ya Bakhmut. Hawaoni sababu ya Wanajeshi wote kufa juu ya mji usio na chochote wa Bakhmut
View attachment 2631690
Slava Ukraine [emoji1255]
Slava Ukraine [emoji1255]