Slava Ukraine [emoji1255]Katika Operatiob Maalum iliyofanyika Urusi Mkoani Belgorod, Mkuu wa Kikosi anayejulikana kama White Rex hakuna Mwanajeshi wa Ukriane hata mmoja aliyepoteza maisha bali wawili wamejeruhiwa. Hawa hapa waloenda kupiga kazi Urusi
View attachment 2633789
Slava Ukraine [emoji1255]Foleni ya Wananchi wa Urusi wakiuhama Mji wa Belgorod huko Urusi. Ni baada ya mji kutolalika kutokana na operation Ukriane imeendasha Mkoani humo Nchini Urusi
View attachment 2633790
Slava Ukraine [emoji1255]Wagners wanaondoka Bakhmut na kuwaachia Urusi waisimamie. Hadi tarehe 1 Juni wote watakuwa wameondoka Bakhmut. Sijui wanaenda wapi
View attachment 2634949
Slava Ukraine [emoji1255]Meli ya Urusi ilivyo shambuliwa na Drone ya Ukriane
View attachment 2634956
Ila Bakhmut imeharibiwa. Sio mji tena wala Kijiji bali Magofu. Yaani Urusi wanachokifanya ni kubomoa kila kitu kuanzia nguvo za Umeme, Mabomba ya Maji Majumba sehemu za Makumbusho Shule ma kila kitu. Kwamba hata akishindwa upate na wewe hasara. Angekuwa anawatetea watu wa Bakhmut au angekuwa anawapenda Waukraine qa Donetsk asingewabomomolea nyumba zao. Wanabomoa Nyumba Moja baada ya nyingi. Na ikiwa nzuri umepaka rangi ndo hawaiachiWatakuwa wanajiandaa kwa mission ya kuchukua mji mwingine.
Walijua Bakhmut watateka zana za Kivita na Miundombinu ya Jeshi la Ukraine angalau warudishe gharama lakini wapi. Wameambulia Patupu. Uzuri hii si Mara ya kwanza Bakhmut inatekwa na Mrusi. 2014 Warusi wakitumia Mgongo wa DRP waliiteka Bakhmut lakini si muda mrefu wakaondolewa.Wanaenda kuongeza Nguvu Avdiivka. Wanaamini wataichukua Avdiivka.
Prigozhin anajua Bakhmut itarudi muda si mrefu. Kuondoka kwao wanataka Legacy yao iendelee kuwepo na baadae waje waseme kuwa Wagner wasingeondoka Ukraine wasingeweza kuichukua.
Hata Prigozhin amelisifu jeshi la Ukraine kuwa si jeshi la mchezo huku akiliponda jeshi la nchi yake ya urusi kuwa hamna kitu.Angalia Mrusi alivyo jisalimisha huku akipiga kelele "Nataka kuishi, Nataka kuishi, Msiniue" , Ukriane ni jeshi kubwa 🤣🤣🤣
View attachment 2636258
Hatari sana. They are fighting for their motherland.Bakhmut jana hiyo
View attachment 2636276
Na kama kweli Wagners wataondoka Bakhmut, Jeshi la Mrusi linaachwa hapo ili limalizwe kama sehemu ya Wagners kujilipizia kisasi kwani Warusi waliwategea sana na kuwatanguliza mbele wakati wa mapambano makali hadi Prigozhin akaanza kulia-lia hapati ushirikiano wa kutosha kutoka kwa Jeshi la Urusi ikiwa ni pamoja na kubaniwa kupata silaha alizaohitaji.Hata Prigozhin amelisifu jeshi la Ukraine kuwa si jeshi la mchezo huku akiliponsa jeshi la nchi yake ya urusi kuwa hamna kitu.
Duh! Aisee! "Pamechafuka" Ukraine amewasimamia mafashisti kwa ukucha. Eti wameiteka Bakhmut.Jinga sana. Wanamdanganya Putin naye kwa ujinga wake anatikisa kichwa kuonesha kuridhika.Bakhmut jana hiyo
View attachment 2636276
Kwa Prigozhin (Mrusi/Wagners)ni mwendo wa mitulinga tuu hakuna recreation. Ndo mana wanakuwa na stress iliyokithiri siku zote.Eti Urusi roho zinawauma wakiona Wanajeshi wa Ukraine Wanaruka majoka🤣🤣🤣
View attachment 2638424
Duh! Miti yote (msitu)imefyekwa kwa makombora hadi makombora mengine yamejinasisha (Stuck)kwenye miti wakati wa mtifuano. Inasikitisha na kutisha. Tumwombe Mungu atuepushe na vita. Vita haifai kabisa.