figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #13,801
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Prigozny anadai hana shida na Putin, bali mkuu wa majeshi na wazir wa ulinzi basi. Na anaelekea moscow kuwakamata.Imedaiwa eti, Wagners watatumika kumtoa Madarakani Putin. Wenye hela zao washapanda dau. Last time kama mnakumbuka, Wagners waliomba ushirikiano na Marekani.
View attachment 2667015
Mbwa kala mbwa 😄😄😄PMC Wagners wamelalamikia Jeshi la Urusi kwa kushambulia kambi yao kwa missiles. Wanadai wamefanya makisudi. Na Wagners nao wamelipiza kisasi kwa kutungua Helkopta mbili za kivita za Urusi. Hii ni Kambi ya PMC Wagners iloshambuliwa na Urusi
View attachment 2667039