Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Leo Base ya Jeshi ya Rostov ilitekwa. Sasa Urusi wameanza kupambana kuikomboa. Base imefurumishiwa Missiles. Nimefurahi kuona Wananchi wa Urusi wakionja radha ya Missiles. Wanatafutana kama nzige. Aliyeko ndani anatoka nje aliyeko nje anaingia ndani🤣🤣🤣
 
Msururu wa Magari ya kijeshi ya Wagners yakiwa Mkoani Voronezh huko Urusi yakiwa yanaelekea uelekeo wa Moscow. Kuna tetesi eti Putin anataka kutangaza Operation nyingine ya Kuilinda Urusi. Sasa zimekuwa operation mbili. Ya kuvamia Ukriane na nyingine kujilinda[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2667055
Slava Ukraine [emoji1255]
Slava Ukraine [emoji1255]
Slava Ukraine [emoji1255]
 
Back
Top Bottom