Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Urusi wameleta Bakhmut wanajeshi wa akiba 2000. Je, Watamaliza wiki mbili?
Hahahaa. HAWAMALIZI. Kabla ya wiki mbili itabidi wakatafute tena wengine wa mkopo 2000 nao wembe utakuwa ni ule-ule. Hapo ndo watajua kwamba Bakhmut ipo Ukraine na ni ardhi ya Ukraine na sio Urusi wala mali ya Urusi.
 
Duh! Kwa kichapo cha kiwango hicho, kwa kweli ni halali tena ni muhimu sana waikimbie kambi haraka iwezekanavyo. Slava Ukraine.
 
Zelensky ana uwezo mkubwa sana wa ushawishi cha hatari. Hakuna aliyetegema angefika hapa alipo leo angekuwa mwingine angekimbia nchi kipindi Wavamizi walipokaribia kuingia Kyiv.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…