Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Urusi wameleta Bakhmut wanajeshi wa akiba 2000. Je, Watamaliza wiki mbili?
Hahahaa. HAWAMALIZI. Kabla ya wiki mbili itabidi wakatafute tena wengine wa mkopo 2000 nao wembe utakuwa ni ule-ule. Hapo ndo watajua kwamba Bakhmut ipo Ukraine na ni ardhi ya Ukraine na sio Urusi wala mali ya Urusi.
 
Bakhmut inarudi Mikononi mwa Ukriane wiki si nyingi. Hapa Warusi wameikimbia moja ya kambi yao huko Bakhmut. Wamepelekewa moto, baada ya kuona wanakufa kama sisimizi ikabidi watimue. Wameshikilia hii sehemu zaidi ya miezi miwili. Angalia Warusi walivyo kufa
View attachment 2682510
Duh! Kwa kichapo cha kiwango hicho, kwa kweli ni halali tena ni muhimu sana waikimbie kambi haraka iwezekanavyo. Slava Ukraine.
 
Makomandoo na Mashujaa wa Azovstal wa Battalion ya Azov waliojisalimisha huko Mariupol wameachuwa hukru. Viongozi wa Azov makubaliano ilikuwa wasikae nchini kwani wangeongeza nguvu.

Leo Wamerudi kutoka kizuizini na amepokelewa na rais Zelensky. Walioachiwa huru ni pamoja na
Denys Prokopenko, Svyatoslav Palamar, Serhiy Volynsky, Oleh Khomenko, Denys Shleha na wengine wengi

Karibu sana nyumbani
View attachment 2682553
Zelensky ana uwezo mkubwa sana wa ushawishi cha hatari. Hakuna aliyetegema angefika hapa alipo leo angekuwa mwingine angekimbia nchi kipindi Wavamizi walipokaribia kuingia Kyiv.
 
Kajizika nchini Ukraine🤣🤣
20230711_144447.jpg
 
Back
Top Bottom